Monday, October 26, 2009

Safari yetu Amerika


Sr.Valeria Chilumba CSR na Sr. Tadea Mpanda CSR walitemelea Amerika mwezi wa kumi.
Angalia picha hiyo hapo chini tulipotembelea nyumba moja ya Masista wetu. Nyumba ya Angelus.