Saturday, August 21, 2010







We are the Sisters of the Holy Redeemer. Mother Alphonse Maria is our foundress and comes from Niederbronn. This year we are celebrating 200 years for her birthday. We are working to help people and show the love of Christ to all through the corporal works of mercy.

Tuesday, August 17, 2010

Sr. M. Majella


Region Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wetu Sr. M. Majella Rink aliyeaga dunia tarehe 16/08/2010. Raha ya milele uumpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangaze. Astarehe kwa amani. Amina
Sr. M. Majella alihudumia wagonjwa wengi katika dispessary katika Parokia ya Majengo Mtwara.
Huduma hii alikuwa anatoa mara mbili kwa wiki. Siku zote watu walifika kwake ili kupata huduma.
Aliwapenda maskini, wanyonge, wenye shida mbalimbali walihudumiwa nae. Tunamshuru sana kwa mema yote alitutendea ndani ya shirika na kwa watu wote. Ukarimu wake kwa watu wote ujalie tuzo la milele.

Thursday, August 5, 2010


Kwa furaha utateka maji katika visima vya wokovu. Kumfuasa Yesu Kwahitaji moyo.

Nadhiri za Daima za Sr. M.Sophia CSR.


Tarehe 31/05/2010

Tunamshukuru Mungu baba yetu kwa kutujalia ongezeko la idadi ya wanashirika. Tumeitwa kuyaishi maisha ya Yesu Mkombozi wetu. Tunamtakia baraka tele na nguvu ya kuishi nadhiri zake kwa uaminifu.