Tuesday, August 17, 2010

Sr. M. Majella


Region Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wetu Sr. M. Majella Rink aliyeaga dunia tarehe 16/08/2010. Raha ya milele uumpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangaze. Astarehe kwa amani. Amina
Sr. M. Majella alihudumia wagonjwa wengi katika dispessary katika Parokia ya Majengo Mtwara.
Huduma hii alikuwa anatoa mara mbili kwa wiki. Siku zote watu walifika kwake ili kupata huduma.
Aliwapenda maskini, wanyonge, wenye shida mbalimbali walihudumiwa nae. Tunamshuru sana kwa mema yote alitutendea ndani ya shirika na kwa watu wote. Ukarimu wake kwa watu wote ujalie tuzo la milele.

No comments:

Post a Comment